WAKONGOMANI NCHI NI YETU.
Géopolitique
WAKONGONI FUNGUKENI MACHO : NCHI NI YETU !
Ulimwengu mzima hakuna mtu ambaye hana kwao, wala kwenye ametokea, au hakuna mwanadam ambaye hana ukoo wake !
Ila cha kushangaza, kwenye nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, kuna watu ambao hawana chanzo chao, wala hawatambuliki kwenye ukoo wa makabila za Kongo, ambazo ni zaidi ya mia nne – amsini, na kila Kabila ndani ya Kongo ina ardhi yake, lugha yake, mira zake na utamaduni wake, na isitoshe ina Kiongozi wake amabaye anatambulika kwa lugha ya kigeni, “CHEF COUTUMIER”, yani Kiongozi anaejulikana kama Mfalme wa ardhi hiyo, na anaeshimiwa na raia wote wa ardhi hio.
Cha kushangaza kuna watu ambao hawajulikane waliko tokea, ila wanangang’ana kujiita wakongomani, na ni wazi kwamba ni wahamiaji haramu, ambao wanapigania kunyanganya nchi na ardhi ya watu wengine, kwa sababu ni watu hawana Kabila la Kongo, kwa njia yoyote : Hawana ardhi, hawana mira za Kongo, hawana lugha ya Kongo, bali wana lugha na mira za kigeni, ambavyo ni vya nchi jirani ya Rwanda.
Kwa sisi wakongomani wenye kutoka kwa shina la ma Kabila za Kongo, si afadhali tuishie kwenye vita ya ukombozi wa nchi yetu, kuliko tukubali kutawaliwa na watu wenye roho ya minyama, watu ambao hawaeshimu hata maiti ya mtu aliefariki dunia !!!! Watu ambao kazi yao ni kupora mali za raia wa Kongo (mifugo, magari, pesa, nyumba, kil akitu), kubaka wana wake na wasichana wenye umri mdogo hadi miaka miwili (2), na isitoshe, baada ya kuwabaka wanawachinja kama mbuzi au kondoo !!! Na zaidi ya kubaka na kuwaua wana wake na wasichana, wanachagua wanaume na wavulana wenye nguvu wote, na kuwaingiza kwa nguvu kwenye kundi la ugaidi na uhaini, na anaye pima toroka, wanamchinja kama ng’ombe, ili wawatie hofu waliosalia, ili wasijaribu kutoroka au kujiondoa kwenye kazi zenye kulaaniwa zao.
Sasa ni wazi kwamba lengo ya hawa wanya-Rwanda sio kupora mali ya nchi ya Kongo tu, au kuwaua Wakongomani kwenye kiwango cha “MAUAJI YA KIMBALI” (Génocide contre le Congolais), lakini haswa haswa, hawa wanya-Rwanda wana lengo ya kutawala Kongo nzima na Wakongomani wote wa ma-Kabila zote za Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo !!!!
Ni lazima Wakongomani tuelewe kwamba hii uongo ambao umezagaa ulimwengu kote, wanya-Rwanda wakisema waliingia Kongo ili wapigania Kabila la wa-Tutsi huko Kongo, ni nani kawaita ili waingie Kongo kualinda hao wa-Tutsi wa Kongo ? Mbona myaka yote wa-Tutsi wanya-Rwanda waliishi uhamishoni ndani ya nchi, ikiwa ingali inaitwa ZAIRE, na hata siku moja, hawo wahamiaji wanya-Rwanda waliishi kwa hofu, eti watatendewa mabaya na Kabila za Kongo. Ila walipokelewa vizuri, wakapewa hifadhi bila tatizo, wakaishi kwa ardhi ya ma-Kabila ya Wakongomani, wakafuga mifugo yao kwenye ardhi ya ma-Kabila za Wakongomani bila shida yoyote, hadi siku waliandaa pomaja na ndugu zao kutoka kwa nchi yao ya Rwanda wakishirikiana na ndugu zao kutoka Uganda na Burundi, kuvamia nchi iliowaweka kwa myaka yote, na lengo likiwa kuchukua madaraka Kinshasa, ili ka Kabila kageni, katawale ma-Kabila yenye ardhi !!!! Jambo hilo, huwezi ukalifiria kama wewe hutawaliwe na Shetani ! Ki-vipi, utachukua uamuzi wa kuwaua watu wakiokuifadhi kwa zaidi ya karne nzima ?
Lakini, kinacho pandwa ndicho kitavunwa ! Hawa watu wanaojiita Kabila la Kongo au Wa-Nyamulenge, itakua je, mtu mmoja aitwe Mkongomani na pia aitwe M-nya-Rwanda? Ile milima yote kwenye wanaojiita Wanyamulenge wanaishi, ni ardhi ya ma-Kabila ya Wabembe, Warega, Wavira, Wafulilo na Washi!!!! Sasa ni lini hawa Wanya-Rwanda wakageuka kuwa Wakongomani wa asiri?? Na ni kweli, mwaka 1996, hawa Wanyamulenge walipigana wakishirikiana na wanya-Rwanda, mpaka wakamfukuza Raisi Mobutu madarakani. Lakini, wakati viongozi wa Jeshi la Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, walijikuta hawakupewa hata Afisa wa cheo cha Kanali !!! Walikuta Jenerali James Kabarebe, ndie Waziri wa Ulinzi na wengine wanya-Rwanda njo walipewa vyeo kwenye ngazi za juu za Jeshi.
Ikumbukwe kwa myaka yote hawa wavaamiaji kutoka Rwanda walingia Kongo, walisingizia kwamba wanapigana ili walinde raia wa asiri ya-Kitutsi, na kuwafuata wa-Hutu wa Kinyarwanda ambao wanatuhumiwa kuhusika na MAUAJI YA KIMBALI yalio wakumba wa-Tutsi wa Rwanda !!! Lakini watamdanganya nani ??? Vipi utapata mda wa kuwamaliza watu, alafu, hao watu ambao wanadaiwa kumalizika, hao hao washinde vita ???
Kwenye nchi ya Jamhuri ya Kongo, watu zaidi ya milioni kumi na sita wameuawa, lakini nchi za magharibi na Marekani zimeunga mkono nchi ya wauaji, na wakanyamanzia MAUAJI YA KIMBALI yaliotokea Kongo, kama vile kwenye dunia hii kuna watu wenye thamani kuliko wengine, na kuna watu wana haki ya kuishi, na wengeni hata wakichinjwa hazari, haitie huzuni yeyote, isipokua familia ambazo zenye kukumbwa kupoteza vipenzi vyao !!!
Acha leo tuwe wazi, ndugu zetu Wakongomani, hii nyimbo ya AFDL wakati wa Laurent Désiré KABILA akishindikizwa na Wanya-Rwanda na Waganda na Warundi, baadae, RCD-GOMA-BIZIMA KARAHA na wengine, ikafuata, CNDP – Laurent NKUNDABATWARE, alafu M23, AFC⁄M23⁄RDF, wakisema wanapigania Wa-Tutsi wenye wanaishi Kongo au wanawafuata FDLR ⁄INTERAHAMWE, ni lazima wasitishe hii nyimbo ya kudanganya na kulaza usingizi watu, ili wasipiganie nchi yao vema !
Ee ninyi Wakongomani wenzetu, ni nani ataipenda nchi kuliko sisi wenye kutoka kwa yale ma-Kabila ya Kongo ya kweli? Nchi ya Kongo ni Mama wa sisi sote. Ni lazima tukubali kujitoa wahanga ili tuikomboe nchi yetu kwenye mikono ya adui ambae anatumia Wakongomani wenzetu ili wasaliti nchi yao kwa kutia kipao mbele tumbo zao, ila cha kushangaza, hata hizo tumbo, adui wa Kongo hawapi mda wa kuzijaza, anawaua kabla hawajakula hata ile rushwa ambayo wamepewa. Ndio maana, tunawasihi, ndugu zetu, acheni hio poroko kuhusu matamshi ya Jenerali Ekenge. Wanao zagaza habari, ni wahalifu wakupindikia na wanamtumikia Shetani ambaye amevamia Kongo. Na Shetani hajawahi kusema kweli. Acheni wenye muziki huo waucheze wenyewe ! Kwa sababu adui wa Kongo ameisha shindwa kwenye ngazi za diplomasia, kinacho salia, ni kuendelea kumwaga damu ya watu wenye hawana hatia. Na Biblia inasema : “Amelaniwa anaye mwaga damu ya mtu mwenye hana hatia”. Sasa, msimuogope Kagame na ndugu zake, kwa sababu laana ya Mungu, Muambaji wa Mbingu na Nchi iko juu yao.
Ndugu zetu Wakongomani, simameni kidete, ushindi huu uko upande wetu !
Mungu awabariki mno !
Mungu abariki Nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo !
Publié le 31/12/2025 à 09:51

← Retour aux articles